sw_tn/act/22/06.md

12 lines
303 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Paulo anazungumzia namna alivyoweza kukutana na Yesu.
# Ikatokea ya kwamba
Msemo huu umetumika hapa kama tukio la kwanza. Hapa Paulo anaelezea jinsi alivyokutana na Yesu.
# nikasikia sauti ikiniambia
Hapa "sauti" inasimama kwa mtu akizungumza. "Mimi nilisikia mtu akiniambia"