sw_tn/phm/01/08.md

12 lines
374 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Ujasiri wote katika Kristo
Inawezekana inamaanisha "mamlaka kwa sababu ya Kristo" au " kutiwa moyo kwa sababu ya Kristo."
# lakini kwa sababu ya upendo
2021-09-10 23:29:28 +00:00
Inawezekana inamaanisha ni 1) "kwa sababu 1 ninajua unawapenda watu wa Mungu,"2) "kwa sababu unanipenda mimi" au 3) "kwa sababu ninakupenda."
2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi.
Paulo anaanza kutoa sababu ya kuandika barua yake.