# Ujasiri wote katika Kristo Inawezekana inamaanisha "mamlaka kwa sababu ya Kristo" au " kutiwa moyo kwa sababu ya Kristo." # lakini kwa sababu ya upendo Inawezekana inamaanisha ni 1) "kwa sababu 1 ninajua unawapenda watu wa Mungu,"2) "kwa sababu unanipenda mimi" au 3) "kwa sababu ninakupenda." # Sentensi unganishi. Paulo anaanza kutoa sababu ya kuandika barua yake.