sw_tn/php/03/06.md

16 lines
418 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kwa juhudi zangu nililitesa Kanisa
Nilidhamiria kuwaumiza waumini wa Kikiristo
# kwa kuitii haki ya sheria, sikuwa na lawama kisheria
"Nilitii sheria sheria yote kikamilifu"
# mambo yote niliyaona kuwa faida kwangu
hapa Paulo anajea kwenye sifa alizozipata kwa kuwa Mfarisayo mwenye shauku.
# Nayahesabu yote kama takataka
Paulo anamalizia kwamba matendo yake ya haki katika dini yalikuwa bure mbele Kristo.