sw_tn/act/18/intro.md

14 lines
715 B
Markdown
Raw Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# Matendo 18 Maelezo kwa ujumla
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Dhana maalum katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Ubatizo wa Yohana
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Wayahudi wengine walioishi mbali kutoka Yerusalemu na Judea walisikia kumhusu Yohane Mbatizaji na wakafuata mafundisho yake. Walikuwa bado kusikia habari za Yesu. Mmoja wa hao aliitwa Apollo. Alimfuata Yohane Mbatizaji lakini hakufahamu kwamba Maasiya alikuwa aliisha kuja. Yohane aliwabatiza watu kuonyesha ya kwamba walitubu dhambi zao na lakini ubatizo huu ulikuwa tofauti na ubatizo wa Kikristo. (Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/faithful]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/christ]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/repent]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
## Links:
* __[Acts 18:1](../../act/18/01.md)__
2021-09-10 19:21:44 +00:00
__[<<](../17/intro.md) | [>>](../19/intro.md)__