sw_tn/act/17/intro.md

20 lines
908 B
Markdown
Raw Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# Matendo 17 Maelezo kwa jumla
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Dhana Maalum katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Kutoelewana kuhusu Maasiya
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Wayahudi walimtarajia Kristo ama Maasiya awe mfalme mwenye nguvu kwa vile Agano la Kale limesema hivyo mara nyingi. Agano hilo pia lizungumzia wakati ambapo Maasiya angeteseka na hayo ndio Paulo alikuwa akiwaambia Wayahudi. (Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/christ]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Dini ya Athene
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Paulo alisema kwamba watu wa Athene walikuwa watu wa "Kidini" lakini hawakumuabudu Yahweh. Waliiabudu miungu wengi wasio kweli. Hapo awali waliwaleta watu wengi chini ya utawala wao na baadaye wakaanza kuabudu miungu zao. (Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/falsegod]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Katika sura hii Luka anafafanua kwa mara ya kwanza jinsi Paulo alivyo waambia ujumbe wa Kristo kwa wale hawakufahamu lololete kuhusiana na agano la kale.
## Links:
* __[Acts 17:01 Notes](./01.md)__
2021-09-10 19:21:44 +00:00
__[<<](../16/intro.md) | [>>](../18/intro.md)__