sw_tn/act/12/intro.md

18 lines
864 B
Markdown
Raw Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# Matendo 12 Maelezo kwa jumla
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Muundo na Mpangilio
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Sura ya 12 inatuelezea kilichomtendekea mfalme Herode wakati Barnabas alikuwa anamrudisha Saulo kutoka Tarshishi na wakipeleka pesa kutoka Antiokia kwa watu wa Yerusalemu (11:25-30). Aliwaua viongozi wengi akamfunga Petero gerezani. Baada ya Mungu kumsaidia Petero kutoroka gerezani, Herode aliwaua walinzi wa gereza kisha naye akauwawa na Mungu. Luka anatuelezea katika mstari wa mwisho wa sura hii jinsi Barnaba na Saulo waliyorudi kutoka Antiokia.
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Mifani ya usemi muhimu katika hii sura
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Kuwa na mfano wa kibinadamu
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
"Neno la Mungu" linazungumziwa kana kwamba ni kiumbe kinachoweza kumea na kuzaana. (Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/wordofgod]] and [[rc://*/ta/man/translate/figs-personification]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
## Links:
* __[Acts 12:01 Notes](./01.md)__
2021-09-10 19:21:44 +00:00
__[<<](../11/intro.md) | [>>](../13/intro.md)__