sw_tn/act/10/intro.md

18 lines
907 B
Markdown
Raw Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# Matendo 10 Maelezo kwa Jumla
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Dhana maalum katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Chafu(Najisi)
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Wayahudi waliamini kwamba waliamini walitembelea ama kula na watu wa mataifa. Hii ni kwa sababu Wafarisayowalikuwa wameunda sheria kinyume nayo kwa vile walitaka watu wasikule chakula ambacho sheria Musa ilisema ni najisi. Sheria ya Musa ilisema kwamba chakula kingine kilikuwa najisi lakini haikusema kwamba watu hawakustahili kutembelea ama kula na watu wa mataifa. (Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/clean]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/lawofmoses]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Ubatizo na Roho Mtakatifu
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Roho Mtakatifu aliwakujia waliokuwa wakimsikiza Petero. Hii inaonyesha Waumini Wayahudi kwamba watu wa Mataifa wangepokea neno la Mungu na kupokea Roho Mtakatifu vile waumini Wayahudi walivyopokea. Baada ya hiyo,Watu wa Mataifa walibatizwa.
## Links:
* __[Acts 10:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../09/intro.md) | [>>](../11/intro.md)__