sw_tn/act/03/19.md

20 lines
659 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Tubuni ... na kugeuka
"Kutubu na kugeuka kunamaanisha kubadirisha njia ya mtazamo na fikra zao kutoka katika dhambi na wamgeukie Mungu"
# ili kwamba dhambi zenu ziweze kuondolewa kabisa
"kufuta" au "iliyoondolewa" ili Mungu aweze kuzifuta dhambi zao.
# kusudi zije nyakati za kuburudika kutokana na uwepo wa Bwana
"Muda wa kuburudishwa katika uwepo wa Bwana inaweza kuwa; 1) Muda ambao Mungu anaziimarisha roho za watu wake; 2) Muda ambao Mungu analeta uamsho kwenu.
# kwamba aweze kumtuma Kristo
"Kwamba anaweza tena kumtuma Kristo". Huu ni ujio mwingine wa Yesu Kristo.
# ambaye ameshateuliwa kwa ajili yenu
Mungu alishamteua Yesu kwa ajili yao.