# Tubuni ... na kugeuka "Kutubu na kugeuka kunamaanisha kubadirisha njia ya mtazamo na fikra zao kutoka katika dhambi na wamgeukie Mungu" # ili kwamba dhambi zenu ziweze kuondolewa kabisa "kufuta" au "iliyoondolewa" ili Mungu aweze kuzifuta dhambi zao. # kusudi zije nyakati za kuburudika kutokana na uwepo wa Bwana "Muda wa kuburudishwa katika uwepo wa Bwana inaweza kuwa; 1) Muda ambao Mungu anaziimarisha roho za watu wake; 2) Muda ambao Mungu analeta uamsho kwenu. # kwamba aweze kumtuma Kristo "Kwamba anaweza tena kumtuma Kristo". Huu ni ujio mwingine wa Yesu Kristo. # ambaye ameshateuliwa kwa ajili yenu Mungu alishamteua Yesu kwa ajili yao.