sw_tn/2th/03/intro.md

18 lines
771 B
Markdown
Raw Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# 2 Wathesalonike 03 Maelezo kwa jumla
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Dhana muhimu katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### watu wasiofanya kazi na wavivu
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
atika mji wa Thesalonike, inaonekana kulikuwa na shida ya watu katika kanisa ambao walikuwa na uwezo wa kufanya kazi lakini wakakataa kufanya hivyo. (Tazama: [[rc://*/ta/man/translate/figs-explicit]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Utafanya nini ndugu yako akitenda dhambi?
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Katika sura hii Paulo anawafundisha Wakristo kwamba wanastahili kuishi kwa njia inayomheshimu Mungu. Wakristo pia wanastahili kuhimizana na kuajibikiana wanachotenda.Kanisa pia lina wajibu wa kuwahimiza waumini kutubu wakati wanatenda dhambi. (Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/repent]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/sin]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
## Links:
* __[2 Thessalonians 03:01 Notes](./01.md)__
2021-09-10 19:21:44 +00:00
__[<<](../02/intro.md) | __