sw_tn/2th/02/intro.md

22 lines
938 B
Markdown
Raw Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# 2 Wathesalonike 02 Maelezo kwa jumla
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Dhana muhimu katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### "Kukusanyika pamoja "ili tukae naye"
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Kifungu hiki kinaashiria wakati ambapo Yesu anawaita wale wanaomwamini. Wasomi wanatofautiana iwapo hii inaashiria kurudi kwa Yesu kwa mwisho kwa utukufu ama kama si hivyo.(Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/believe]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Mtu muasi
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Hii ni sawa na "mwana wa uharibifu" na "yule muasi" katika sura hii.Paulo anamhusisha na Shetani ambaye anafanya kazi kwa bidii duniani. (Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/antichrist]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Anakaa ndani ya hekalu la Mungu
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Huenda Paulo anarejelea hekalu la Yerusalemu ambalo liliharibiwa na Warumi miaka chache baada ya kuandika hii barua. Ama anarejelea kwa hekalu lijalo la ukweli, ama kanisa kama hekalu la kiroho la Mungu.(Tazama: [[rc://*/ta/man/translate/figs-explicit]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
## Links:
* __[2 Thessalonians 02:01 Notes](./01.md)__
2021-09-10 19:21:44 +00:00
__[<<](../01/intro.md) | [>>](../03/intro.md)__