sw_tn/2pe/03/intro.md

18 lines
711 B
Markdown
Raw Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# 2 Petero 03 Maelezo kwa jumla
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Dhana muhimu katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Moto
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Watu hutumia moto mara nyingi kuharibu vitu ama kukifanya kitu kiwe safi kwa kuondoa uchafu na vitu visivyofaa. Kwa hivyo Mungu anapowadhibu waovu ama kuwatakaza watu wake, huwa inalinganishwa na moto. (Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/other/fire]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Siku ya Bwana
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Wakati kamili wa kurudi kwa Bwana itakuwa mshangao kwa wengi. Hii ndiyo maana ya tashbihi "kama mwizi wa usiku". Kwa sababu ya haya Wakristo wanafaa wajiandae kwa ajili ya kurudi kwake Bwana. (Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/dayofthelord]] and [[rc://*/ta/man/translate/figs-simile]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
## Links:
* __[2 Peter 03:01 Notes](./01.md)__
2021-09-10 19:21:44 +00:00
__[<<](../02/intro.md) | __