Paulo anawaeleza Wakorintho anapojitayarisha kuwatembelea. Anatumaini kuepuka tatizo ya kumwadhibu yeyote kanisani ili aweze kuwatembelea kwa furaha. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/disciple]])
Wasomi wamegawanyika juu ya maana ya maneno haya. Wasomi wengine wanasema kwamba Wakristo wanapaswa kujijaribu wenyewe ili kuona kama matendo yao yanahusiana na imani yao ya Kikristo. Wasomi wamegawanyika juu ya maana ya maneno haya. Wasomi wengine wanasema kwamba Wakristo wanapaswa kujijaribu wenyewe ili kuona kama matendo yao yanahusiana na imani yao ya Kikristo. Muktadha unapendeza ufahamu huu. Wengine wanasema maneno haya yanamaanisha kuwa Wakristo wanapaswa kuangalia matendo yao na kuuliza kama wameokolewa kwa kweli. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/faith]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/save]]). Wengine wanasema maneno haya yanamaanisha kuwa Wakristo wanapaswa kuangalia matendo yao na kuuliza kama wameokolewa kwa kweli. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/faith]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/save]])