Wakristo ni "wasafi" kwa maana kwamba Mungu amewatakasa kutoka kwa dhambi. Hawakuhitaji ya kuwa na wasiwasi ya kuwa safi kulingana na sheria ya Musa. Kuishi kwa ukafiri huweza kumfanya Mkristo kutokuwa msafi. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/clean]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/lawofmoses]])
Maneno "huzuni" na "masikitiko" katika sura hii yanaonyesha kwamba Wakorintho walikuwa wamesononeka kiasi cha kutubu. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/repent]])
Sura hii inazungumzia kwa kina hali nyingine ya awali. Tunaweza kufikiria mambo fulani ya hali hii kutokana na taarifa katika sura hii. Lakini ni bora kutoingiza aina hii ya habari kamili katika tafsiri. (See: [[rc://*/ta/man/translate/figs-explicit]])