sw_tn/2co/02/intro.md

20 lines
798 B
Markdown
Raw Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# 2 Wakorintho 02 Maelezo ya Jumla
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Dhana maalum
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Uandishi wa hasira
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Katika sura hii, Paulo anaelezea barua aliyowaandikia Wakorintho hapo awali. Barua hiyo ilikuwa na sauti kali na ya kurekebisha. Paulo labda aliandika barua hiyo baada ya barua inayojulikana kama Wakorintho wa Kwanza na kabla ya barua hii. Anasema kuwa kanisa lilipaswa kumkemea mwanachama mkosaji. Paulo sasa anawahimiza kuwa na neema kwa mtu huyo. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/grace]] and [[rc://*/ta/man/translate/figs-explicit]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Harufu
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Harufu nzuri inapendeza. Maandiko mara nyingi hueleza mambo ambayo yanampendeza Mungu kama kuwa na harufu nzuri.
## Links:
* __[2 Corinthians 02:01 Notes](./01.md)__
2021-09-10 19:21:44 +00:00
__[<<](../01/intro.md) | [>>](../03/intro.md)__