sw_tn/1th/05/intro.md

22 lines
686 B
Markdown
Raw Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# 1 Wathesalonike 05 Maelezo kwa ujumla
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Muundo na Mpangilio
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
Paulo anamalizia barua yake kama barua za kawaida nyakati za kale kule Mashariki Ya Karibu.
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Dhana Muhimu katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Siku ya bwana
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Wakati kamili wa ujio wa siku ya Bwana itakuwa ni kwa ghafla pasipotarajiwa. Hii ndiyo maana ya "kama mwizi usiku". Kwa sababu hii, Wakristo waishi wakijiandaaa kurudi kwa Bwana. (Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/dayofthelord]] and [[rc://*/ta/man/translate/figs-simile]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### "Kukata kiu ya Kiroho"
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Hii ina maana ya kutojali ama kufanya kinyume na mwongozo na kazi ya Roho Mtakatifu.
## Links:
* __[1 Thessalonians 05:01 Notes](./01.md)__
2021-09-10 19:21:44 +00:00
__[<<](../04/intro.md) | __