sw_tn/1pe/03/intro.md

28 lines
1.1 KiB
Markdown
Raw Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# 1 Petero 03 Maelezo kwa jumla
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Muundo na mpangilio
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Watafsiri wengine wametenga mistari ya ushairi mbele zaidi kuelekea kulia kuliko maandishi mengine ili yasomeke kwa urahisi. ULB hufanya hivi na ushairi ambao umenukuliwa kutoka Agano la kale katika 3:10-12
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Dhana muhimu katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### "Mapambo ya nje"
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Watu wengi wanataka kuonekana wazuri ili watu wawapende na kufikiri ni watu wazuri. Wanawake huwa makini sana kuonekana wazuri kwa kuvalia nguo nzuri na mapambo. Petero anasema kwamba kile mtu anafikiri na kusema na kutenda ni muhimu kwa Mungu kuliko jinsi anavyoonekana.
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Umoja
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Petero alitaka wasomaji wake kukubaliana na kila mmoja wao. Muhimu zaidi aliwataka wapendane na kuvumiliana.
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Mifano muhimu za usemi katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Mfano
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Petero ananukuu Zaburi ambayo inamfafanua Mungu kama mtu aliye na macho, masikio na uso. Hata hivyo Mungu ni roho na kwa hivyo hawezi kuwa na macho, masikio ama uso wa kibinadamu. Lakini yeye anafahamu wafanyacho watu na huwadhibu watu waovu. (Tazama: [[rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
## Links:
* __[1 Peter 03:01 Notes](./01.md)__
2021-09-10 19:21:44 +00:00
__[<<](../02/intro.md) | [>>](../04/intro.md)__