sw_tn/1pe/02/intro.md

24 lines
1.2 KiB
Markdown
Raw Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# 1 Petero 02 Maelezo kwa jumla
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Muundo na mpangilio
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Watafsiri wengine wametenga mistari ya ushairi mbele zaidi kuelekea kulia kuliko maandishi mengine ili yasomeke kwa urahisi. ULB hufanya hivi na ushairi ambao umenukuliwa kutoka Agano la kale katika 2:6, 7, 8 na 22.
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Dhana muhimu katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Mawe
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Bibilia inatumia jengo lililojengwa kwa mawe makubwa kama mfano wa kanisa. Yesu ni jiwe kuu la pembeni, jiwe la muhimu. Mitume na manabii ndio msingi, sehemu ya jengo hili ambamo mawe mengine yanasimamia. Katika sura hii Wakristo ni mawe ambayo yanatengeneza kuta za jengo. (Tazama: [[rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/cornerstone]] and [[rc://*/tw/dict/bible/other/foundation]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Mifano muhimu za usemi katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Maziwa na watoto
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Wakati Petero anawaambia wasomaji wake kwamba "watamani maziwa halisi ya kiroho", anatumia mfano ya mtoto mchanga ambaye hawezi kula chakula kigumu. Anataka kuwaelezea wasomaji wake kwamba wanaweza tu kuelewa vitu rahisi kuhusu maisha ya kumfurahisha Mungu. (Tazama: [[rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
## Links:
* __[1 Peter 02:01 Notes](./01.md)__
2021-09-10 19:21:44 +00:00
__[<<](../01/intro.md) | [>>](../03/intro.md)__