Watafsiri wengine wametenga mistari ya ushairi mbele zaidi kuelekea kulia kuliko maandishi mengine ili yasomeke kwa urahisi. ULB hufanya hivi na ushairi ambao umenukuliwa kutoka Agano la kale katika 1:24-25.
Yesu atakaporudi tena, kila mtu ataona jinsi watu wa Mungu walikuwa wawe na imani kwa Yesu. Halafu watu wa Mungu wataona jinsi Mungu amekuwa wa neema kwao na watu wote watamsifu Mungu na watu wake.
Petero anawaambia watu kuishi kwa ajili ya vitu vya kudumu milele na kuacha kuishi kwa ajili ya vitu vya dunia hii ambavyo vitaisha. (Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/eternity]])
Ukweli kinza ni kauli ya ukweli ambayo inaonekana kuelezea kitu kisichowezekana. Petero anaandika kwamba wasomaji wake wanafurahi na kuhuzunika kwa wakati mmoja (1 Petero 1:6). Anaweza kusema hivi kwa sababu wanahuzuni kwa sababu wanateseka lakini wanafurahi kwa sababu wanafahamu kwamba Mungu atawaokoa nyakati za mwisho" (1 Peter 1:5)