Kaini alikuwa mwana wa mtu wa kwanza, Adamu, na mwanamke wa kwanza, Hawa. Alimwonea wivu ndugu yake na kumwua. Wasomaji hawawezi kujua Kaini ni nani ikiwa hawajasoma kitabo cha Mwanzo. Wanaweza kusaidiwa ikiwa unawaelezea hivi.
Kujua" ni neno la kitenzi kinachotumika kwa njia mbili tofauti katika sura hii. Wakati mwingine hutumiwa kuhusu kujua ukweli, kama katika 3:2, 3:5, na 3:19. Wakati mwingine inamaanisha uzoefu na kuelewa mtu au kitu, kama katika 3:1, 3:6, 3:16, na 3:20. Lugha zingine zina maneno tofauti kwa maana hizi tofauti.
Wasomi wengi wanaamini kama hii inamaanisha kubaki katika mapenzi ya Mungu wala sio kumaanisha kuokolewa. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/eternity]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/save]])