Katika sura hii Yohana anaandika juu ya mpinga Kristo maalum na wapinga Kristo wengi. Neno "mpinga Kristo" linamaanisha "anayepinga Kristo." Mpinga Kristo ni mtu atakayekuja siku za mwisho na kuiga kazi ya Yesu, lakini ataifanya kwa uovu. Kabla ya mtu huyu kuja, kutakuwa na watu wengi wanaofanya kazi dhidi ya Kristo; wao pia huitwa "wapinga Kristo." (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/antichrist]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/lastday]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/evil]])
Kuwa ndani ya Mungu ni mfano ya kuwa na ushirika pamoja na Mungu, pia neno la Mungu na ukweli kuwa ndani ya watu ni mfano ya watu kujua na kutii neno la Mungu.