sw_tn/1co/11/intro.md

35 lines
1.8 KiB
Markdown
Raw Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# 1 Wakorintho 11 Maelezo ya Jumla
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Muundo na upangiliaji
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Huu ni mwanzo wa sehemu mpya wa barua (Sura za 11-14). Paulo sasa anazungumza kuhusu huduma nzuri za kanisa. Katika sura hii, anahusisha matatizo mawili tofauti: wanawake katika huduma za kanisa (mistari ya 1-16) na Meza ya Bwana (mistari ya 17-34).
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Dhana maalum katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Mazoezi mema katika huduma ya kanisa
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Wanawake wasio na adabu
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Maagizo ya Paulo hapa yanajadiliwa na wasomi. Labda kulikuwa wanawake ambao walikuwa wakitumia uhuru wao wa Kikristo vibaya a kuleta fujo ndani ya kanisa sababu hawakukuwa na adabu ya kawaida. Fujo kutokana na vitendo vyao vilimfanya awe na wasiwasi.
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Meza ya Bwana
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Kulikuwa na matatizo katika Wakorintho kwa jinsi walikula Meza ya Bwana. Hawakutenda kwa umoja. katika Wakorintho kwa jinsi walikula Meza ya Bwana, baadhi yao walikula chakula chao wenyewe bila kushirikiana. Baadhi yao walilewa wakati watu masikini walipokuwa na njaa. Paulo alifundisha kwamba waumini wanadharau kifo cha Kristo kama wanakula Meza ya Bwana na kufanya dhambi au wakati
2021-09-10 21:41:39 +00:00
wanavunja ushirika na wenzao. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/sin]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/reconcile]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Mifanyo ya muhimu za matamshi katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Maswali ya uhuishaji
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Paulo hutumia maswali ya uhuishaji ili kuwakaripia watu kwa kutofuata kwao sheria za ibada aliyopendekeza. (See: [[rc://*/ta/man/translate/figs-rquestion]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Kichwa
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Paulo anatumia "kichwa" kama kielelezo cha mamlaka katika mstari wa 3 na pia kutaja kichwa halisi cha mtu katika mstari wa 4 na kuendelea. Kwa kuwa hayo ni ya karibu sana, inawezekana kwamba Paulo alitumia "kichwa" kwa makusudi kwa njia hii. Hii inaonyesha kwamba mawazo katika aya hizi ziliunganishwa. (See: [[rc://*/ta/man/translate/figs-metonymy]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
## Links:
* __[1 Corinthians 11:01 Notes](./01.md)__
2021-09-10 19:21:44 +00:00
__[<<](../10/intro.md) | [>>](../12/intro.md)__