Watu walimshtaki Paulo kwa kutaka fedha tu kutoka kanisani. Paulo alijibu kwamba angeweza kupata fedha kutoka kanisa kwa njia ya haki. Agano la Kale lilifundisha kwamba wale waliofanya kazi wanapaswa kukilisha kutoka kwa kazi zao. Yeye na Barnaba hawakutumia kamwe haki hii kimakusudi ili kujikimu maisha yao wenyewe.
Kifungu hiki ni muhimu kwa sababu Paulo "anaweka katika muktadha" kuhubiri kwa injili kwa watu mbalimbali. Hii ina maana kwamba Paulo hujiweka mwenyewe pamoja na Injili kueleweka, bila matendo yake kuzuia injili. Mtafsiri anapaswa kuchukua huduma ya ziada kuhifadhi nyanja za "kuwekwa katika muktadha" hii ikiwa inawezekana. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/goodnews]])
Paulo anatumia maswali mengi ya uhuishaji katika sura hii. Anayatumia kusisitiza maneno mbalimbali anapofundisha Wakorintho.(See: [[rc://*/ta/man/translate/figs-rquestion]])