Paulo anafundisha kwamba Mkristo hapaswi kuchukua Mkristo mwingine kwa mahakamani mbele ya hakimu asiye Mkristo. Ni bora zaidi kudanganywa. Wakristo watawahukumu malaika. Kwa hiyo wanapaswa kuwa na uwezo wa kutatua matatizo kati yao wenyewe. Ni mbaya sana kutumia mahakama kumdanganya mwamini mwingine. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/judge]])
Paulo anatumia maswali kadhaa ya uhuishaji katika sura hii. Anayatumia kusisitiza manen muhimu anapofundisha Wakorintho. (See: [[rc://*/ta/man/translate/figs-rquestion]])