sw_tn/psa/058/003.md

32 lines
1.0 KiB
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Waovu wanapotoka hata walipokuwa tumboni ... wanaenda pembeni tangu kuzaliwa
Hili ni wazo moja linaloelezwa kwa njia mbili tofauti.
# wanapotoka
Kufanya vitu vibaya inazungumziwa kana kwamba watu wanatembea kwenye barabara, na wanageuka na kukosea njia. "wanafanya makosa"
# Sumu yao ni kama sumu ya nyoka
Vitu viovu ambavyo watu wanasema vinazungumziwa kana kwamba ni sumu. "Maneno yao maovu yanasababisha shida kama sumu ya nyoka inavyowadhuru watu"
# ni kama fira kiziwi anayezuia maskio yake
watu waovu wasiosikia ushauri au kukemewa wanazungumziwa kana kwamba ni nyoka ambazo haziitikii muziki wa mganga. "wanakataa kusikiliza kama fira kiziwi inayozuia maskio yake"
# fira kiziwi anayezuia maskio yake
Fira asiyeitikia muziki wa mganga anazungumziwa kana kwamba inaweza kuweka kitu katika maskio yake ili kwamba isisikie. "fira asiye sikia"
# fira
aina ya nyoka mwenye sumu
# waganga
watu wanaocheza au kuimba muziki ili kumwongoza nyoka
# haijalishi ujuzi wao ulivyo
"haijalishi ujuzi walionao waganga katika kumwongoza nyoka"