sw_tn/psa/055/012.md

24 lines
649 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# ningeweza kuibeba
Kuvumilia kukemewa inazungumziwa kama kuubeba. "ningeweza kubeba kukemewa" au "nisingekuwa na huzuni sana kuhusu kukemewa"
# aliyejiinua dhidi yangu
Kuwa na majivuno na kumtusi mwingine inazungumziwa kama kujiinua dhidi ya mwingine. "kanitukana mimi" au "kanichukia"
# Lakini ilikuwa ni wewe
Mwandishi wa zaburi anazungumza kana kwamba mtu aliyemkemea na kumsuta alikuwa hapo akimsikiliza.
# mwenzangu na rafiki wangu wa karibu
"Wewe ulikuwa mwenzangu na rafiki wa karibu"
# Sisi
Neno "sisi" inamaanisha mwandishi wa zaburi na rafiki yake.
# pamoja na umati
Maana zinazowezekan ni 1) "pamoja" au 2) "pamoja na kundi"