# ningeweza kuibeba Kuvumilia kukemewa inazungumziwa kama kuubeba. "ningeweza kubeba kukemewa" au "nisingekuwa na huzuni sana kuhusu kukemewa" # aliyejiinua dhidi yangu Kuwa na majivuno na kumtusi mwingine inazungumziwa kama kujiinua dhidi ya mwingine. "kanitukana mimi" au "kanichukia" # Lakini ilikuwa ni wewe Mwandishi wa zaburi anazungumza kana kwamba mtu aliyemkemea na kumsuta alikuwa hapo akimsikiliza. # mwenzangu na rafiki wangu wa karibu "Wewe ulikuwa mwenzangu na rafiki wa karibu" # Sisi Neno "sisi" inamaanisha mwandishi wa zaburi na rafiki yake. # pamoja na umati Maana zinazowezekan ni 1) "pamoja" au 2) "pamoja na kundi"