sw_tn/psa/050/014.md

12 lines
359 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mtolee Mungu
Hapa Mungu inamaanisha mwenyewe. "Nitolee mimi"
# lipi nadhiri zako kwa Aliye juu
Mwandishi anazungumzia "nadhiri" kana kwamba ni fedha ambayo mtu analipa kwa Mungu. "timiza nadhiri zako kwa Aliye juu" au "fanya kile ulichomwahidi aliye juu kufanya"
# katika siku ya shida
Hapa neno "siku" linamaanisha wakati wowote. "unapokuwa na taabu"