# Mtolee Mungu Hapa Mungu inamaanisha mwenyewe. "Nitolee mimi" # lipi nadhiri zako kwa Aliye juu Mwandishi anazungumzia "nadhiri" kana kwamba ni fedha ambayo mtu analipa kwa Mungu. "timiza nadhiri zako kwa Aliye juu" au "fanya kile ulichomwahidi aliye juu kufanya" # katika siku ya shida Hapa neno "siku" linamaanisha wakati wowote. "unapokuwa na taabu"