sw_tn/mrk/16/19.md

13 lines
316 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# akachukuliwa juu mbinguni na ameketi
Hii inaweza kuwa kusemwa katika kauli tendaji. "Mungu alimchukua juu mbinguni, na ameketi"
# mkono wa kuume wa Mungu
"sehemu ambapo Mungu umpe kuketi kwa heshima na nguvu"
# kulithibitisha neno
"kulionyesha kuwa maneno yake, ambayo yalikuwa yakizunguzwa, yalikuwa kweli"