sw_tn/mrk/06/33.md

17 lines
382 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# waliwaona wakiondoka
"watu walimuona Yesu na mitume wakiondoka"
# kwa miguu
Watu walienda kwa miguu kutoka miji yote, ambapo inajipinga na namna wanafunzi walienda kwa mtumbwi.
# aliona umati mkubwa
"Yesu aliona umati mkubwa"
# walikuwa kama kondoo wasiokuwa na mchungaji
Yesu analinganisha watu kwa kondoo waliochanganyikiwa pindi wanapokosa mchungaji wao wa kuwaongoza.