# waliwaona wakiondoka "watu walimuona Yesu na mitume wakiondoka" # kwa miguu Watu walienda kwa miguu kutoka miji yote, ambapo inajipinga na namna wanafunzi walienda kwa mtumbwi. # aliona umati mkubwa "Yesu aliona umati mkubwa" # walikuwa kama kondoo wasiokuwa na mchungaji Yesu analinganisha watu kwa kondoo waliochanganyikiwa pindi wanapokosa mchungaji wao wa kuwaongoza.