sw_tn/jas/04/08.md

41 lines
1.3 KiB
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa ya jumla.
Neno "ninyi" linamaanisha waamini waliotawanyika ambao Yakobo anawaandikia.
# Sogeeni karibu na Mungu, na yeye atakaribia karibu nanyi
Hapa anamaanisha kuwa wakweli na wazi kwa Mungu.
# Safisheni mikono yenu, enyi wenye dhambi, na takaseni mioyo yenu, enyi wenye nia mbili.
Hizi ni sentensi mbili zinazoendana.
# Safisheni mikono yenu
Hii ni amri kwa watu kufanya mambo ya haki na sio maovu. "Ishini namna ambavyo inampendeza Mungu"
# Takaseni mioyo yenu
"mioyo" inamaanisha mawazo ya mtu na hisia zake" Mheshimu Mungu kwa mawazo yako"
# nia mbili
"Nia mbili" linamaanisha mtu ambaye hawezi kufanya maamuzi juu ya jambo fulani. "Mtu ambaye hawezi kuamua amtii Mungu au la"
# Huzunika, omboleza, na Lia
Maneno haya matatu yana maana moja. Yakobo anayatumia kwa pamoja kuonesha kuwa watu watahuzunika sana kwa kutokumtii Mungu" Yakobo anasema haya kama amri.
# Geuzeni kicheko chenu kuwa huzuni na furaha yenu kuwa maombolezo
Hapa kicheko kimezungumzwa kuwa kitageizwa kuwa huzuni na furaha kuwa maombolezo. "Acheni kucheka na mtubu kwa Mungu"
# Nyeyekeeni wenyewe mbele za Bwana
"Jinyenyekezeni mbele za Mungu"
# Atawainua juu
Yakobo anazungumza namna ambavyo Mungu anamuheshimu mtu mnyenyekevu na kumnyanyua toka chini. "atakuheshimu wewe"