sw_tn/act/27/01.md

17 lines
431 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Paulo, kama mfungwa , anaanza safari kwenda Rumi
# Taarifa
Neno sisi linamaanisha Luka mwandishi pamoja na Paulo na wasafiri wengine waliosafiri na Paulo
# Taarifa
Adramitamu ni mji uliokuwa pwani ya uturuki ya sasa
# Wakawaeka Paulo na wafungwa wengine chini ya mashitaka ya Julio wa kikosi cha Agustani
Maaskari wa kirumi wakamweka kwa afisa Julias wa Agustani kwa mkuu wa Paulo na wafungwa wengine.