# Sentensi unganishi Paulo, kama mfungwa , anaanza safari kwenda Rumi # Taarifa Neno sisi linamaanisha Luka mwandishi pamoja na Paulo na wasafiri wengine waliosafiri na Paulo # Taarifa Adramitamu ni mji uliokuwa pwani ya uturuki ya sasa # Wakawaeka Paulo na wafungwa wengine chini ya mashitaka ya Julio wa kikosi cha Agustani Maaskari wa kirumi wakamweka kwa afisa Julias wa Agustani kwa mkuu wa Paulo na wafungwa wengine.