sw_tn/act/26/09.md

17 lines
421 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Wakati fulani
Paulo alitumia maneno haya kuonesha utetezzi wake mwingine. Sasa anaelezea alivyokuwa anawatesa watakatifu.
# Kinyume na jina la Yesu
neno "jina" linasimama kwa ujumbe wa Yesu. "kinyume na ujumbe wa Yesu"
# Nipe kura yangu dhidi yao
"Kupiga kura ili kuwaadhibu"
# Niliwaadhibu mara kwa mara
Inamaanisha 1)Paulo aliwaadhibu baadhi ya waamini mara nyingi au 2) Paulo aliwaadhibu waamini mbalimbali.