# Wakati fulani Paulo alitumia maneno haya kuonesha utetezzi wake mwingine. Sasa anaelezea alivyokuwa anawatesa watakatifu. # Kinyume na jina la Yesu neno "jina" linasimama kwa ujumbe wa Yesu. "kinyume na ujumbe wa Yesu" # Nipe kura yangu dhidi yao "Kupiga kura ili kuwaadhibu" # Niliwaadhibu mara kwa mara Inamaanisha 1)Paulo aliwaadhibu baadhi ya waamini mara nyingi au 2) Paulo aliwaadhibu waamini mbalimbali.