sw_tn/act/25/01.md

37 lines
747 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
Festo ndiye gavana wa Kaisaria
# Sasa
Neno hili linaonyesha mwanzo wa tukio linalofuata kwenye simulizi.
# Festo akaingia katika jimbo
Inamaanisha 1) Festo aliingia katika eneo au 2) Festo aliingia kwenye eneo ili kuanza kutawala
# Alienda toka Kaisaria mpaka Yerusalemu
Hii inamaanisha 1) kwenda juuinaonesha umuhimu wa Yerusalemu au 2) alikwenda mpaka juu kwa kuwa Yerusalemu ipo kilimani.
# Walileta mashitaka dhidi ya Paulo
"kumshtaki Paulo kwa kuvunja sheria"
# Waliongea kwa nguvu kwa Festo
"walimbembeleza Festo"
# Kwamba atamuita..... ili wamuue
"kwamba Festo atamuita Paulo..... ili Wayahudi wamuue"
# Anaweza kumuita
Anaweza kumtuma
# Wanaweza kumuua njiani
Watamvamia Paulo na kumuua akiwa njiani