sw_tn/act/24/intro.md

23 lines
622 B
Markdown
Raw Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# Matendo 24 Maelezo kwa jumla
### Muundo na Mpangilio
Paulo alimwambia mkuu wa mkoa kwamba hakutenda tukio aliloshtakiwa na Wayahudi na kwa hivyo asimwadhibu kwa asilotenda.
### Dhana maalum katika sura hii
#### Heshima
Viongozi wote Wayahudi (Matendo 24:2-4) na Paulo walianza kutoa hotuba zao wakitumia maneno yakudhihirisha heshima kwa mkuu wa mkoa.
### Matatizo mengine katika hii tafsiri
#### Viongozi wa Kiserikali
Maneno "mkuu wa mkoa", Kamanda," na "akida" yanaweza kuwa magumu kutafsiri katika lugha nyingine.
## Links:
* __[Acts 24:01 Notes](./01.md)__
__[<<](../23/intro.md) | [>>](../25/intro.md)__