sw_tn/act/24/22.md

21 lines
476 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa ya jumla
Felix alikuwa Gavana wa Kirumi katika eneo la mji wa Kaisaria.
# Njia
Hili lilijuwa jina jingine la ukristo.
# Wakati wowote Lisia mkuu wa kikosi anakuja hapa chini
"wakati Lisia mkuu wa kikosi anakuja chini" au "muda Lisia mkuu wa kikosi anakuja chini"
# Mimi nitaamua kesi yenu
"Nitafanya uamuzi kuhusu shutuma hizo dhidi yako" au "nitatoa hukumu kama wewe una hatia"
# awe na uhuru
"Paulo anapewa uhuru si vinginevyo ni miongoni mwa wafungwa"