# Taarifa ya jumla Felix alikuwa Gavana wa Kirumi katika eneo la mji wa Kaisaria. # Njia Hili lilijuwa jina jingine la ukristo. # Wakati wowote Lisia mkuu wa kikosi anakuja hapa chini "wakati Lisia mkuu wa kikosi anakuja chini" au "muda Lisia mkuu wa kikosi anakuja chini" # Mimi nitaamua kesi yenu "Nitafanya uamuzi kuhusu shutuma hizo dhidi yako" au "nitatoa hukumu kama wewe una hatia" # awe na uhuru "Paulo anapewa uhuru si vinginevyo ni miongoni mwa wafungwa"