sw_tn/act/24/04.md

29 lines
895 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa ya jumla
Fungu hili linazungumzia juu ya Anania, baadhi ya wazee na Tetulo
# Lakini nisikuchoshe zaidi
Maana inawezekana ni 1) "ili mimi nisichukue sana muda wako" au 2) "Hivyo kwamba nisikufunge."
# kwa wema waka nisikilize kwa ufupi
"kusikiliza hotuba yangu fupi"
# Tumegundua kwamba mtu huyu mkorofi
neno "sisi" inamaanisha Anania, wazee kadhaa na Tertulo. "sisi tulimshuhudia Paulo" au "tuligundua kwamba Paulo chazo cha matatizo"
# Wayahudi wote kila mahali duniani
neno "wote" hapa ni kuongezewa chumvi kama kisingizio cha kumshtaki Paulo. "Wayahudi wote duniani kote"
# Tena ni kiongozi wa madhehebu ya Wanazorayo
Neno "dhehebu la Wanazarayo" ni jina jingine kwa wakristo "Mtu huyu anaongoza makundi ya watu wafuasi wa madhehebu ya Wanazarayo""
# dhehebu
hili ni kundi dogo ya watu ndani ya kundi kubwa. Tertulo anaona Wakristo kuwa kundi dogo ndani ya Uyahudi.