# Taarifa ya jumla Fungu hili linazungumzia juu ya Anania, baadhi ya wazee na Tetulo # Lakini nisikuchoshe zaidi Maana inawezekana ni 1) "ili mimi nisichukue sana muda wako" au 2) "Hivyo kwamba nisikufunge." # kwa wema waka nisikilize kwa ufupi "kusikiliza hotuba yangu fupi" # Tumegundua kwamba mtu huyu mkorofi neno "sisi" inamaanisha Anania, wazee kadhaa na Tertulo. "sisi tulimshuhudia Paulo" au "tuligundua kwamba Paulo chazo cha matatizo" # Wayahudi wote kila mahali duniani neno "wote" hapa ni kuongezewa chumvi kama kisingizio cha kumshtaki Paulo. "Wayahudi wote duniani kote" # Tena ni kiongozi wa madhehebu ya Wanazorayo Neno "dhehebu la Wanazarayo" ni jina jingine kwa wakristo "Mtu huyu anaongoza makundi ya watu wafuasi wa madhehebu ya Wanazarayo"" # dhehebu hili ni kundi dogo ya watu ndani ya kundi kubwa. Tertulo anaona Wakristo kuwa kundi dogo ndani ya Uyahudi.