sw_tn/act/21/25.md

29 lines
820 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yakobo na Wazee katika Yerusalemu wanamaliza maswali yao kwa Paulo.
# wanapaswa kujiepusha na vitu vilivyotolewa dhabihu kwa sanamu, na damu, kutokana na kile kilichonyongwa
ote hayo yalikuwa sheria za kile wanachotakiwa kula.
# kujiepusha na vitu vilivyotolewa dhabihu kwa sanamu
Wajiepushe kula nyama iliyotolewa kwa ibada za sanamu.
# kutokana na kile kilichonyongwa
Mnyama ambaye ameuawa bila damu kutoka.
# ibada ya kujitakasa pamoja nao
Kabla ya kuingia Hekaluni Wayahudi walitakiwa kuwa sherehe au tohara. Kusafishwa alikuwa na kufanya na Wayahudi kuwa na mawasiliano na watu wa mataifa mengine.
# siku ya kujitakasa
Hii ni hatua tofauti ya kujitakasa ambayo ilitakiwa kuitimiza ili waweze kuingia hekaluni.
# mpaka sadaka ilipotolewa
"Mpaka walipowasilisha wanyama kwa sadaka"