sw_tn/act/20/36.md

21 lines
589 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa unganishi
Paul anamalizia muda na hotuba yake kwa wazee wa kanisa la Efeso na kisha kuomba pamoja nao.
# alipiga magoti akaomba pamoja nao
Ilikuwa desturi ya kawaida kupiga magoti wakati wa kuomba. Ilikuwa alama ya unyenyekevu mbele za Mungu.
# kumwangukia Paulo shingoni
"Aliwakumbatia kwa karibu" au "kuweka mikono yao karibu naye"
# walimbusu
Kumbusu mtu kwenye shavu ni usemi wa kindugu au upendo wa kirafiki katika Mashariki ya Kati.
# Kamwe hawatauona uso wake tena
Neno "uso" hapa inawakilisha mwili wa Paulo kimwili. 'hamtaniona katika mwili katika dunia hii.'