forked from WA-Catalog/sw_tn
33 lines
975 B
Markdown
33 lines
975 B
Markdown
|
# Taarifa unganishi
|
||
|
|
||
|
Paulo alimaliza hotuba yake kwa wazee wa Kanisa la Efeso, Ambayo alikuwa akiihutubia
|
||
|
|
||
|
# Sikutamani fedha ya mtu.
|
||
|
|
||
|
"Sikuwa na tamaa ya fedha za mtu yeyote" au "Mimi mwenyewe sikuhitaji fedha ya mtu yeyote"
|
||
|
|
||
|
# fedha ya mtu, dhahabu, au nguo
|
||
|
|
||
|
Mavazi yalidhaniwa kuwa kama hazina; kwa kadri mtu alivyozidi kuwa navyo, ndivyo alivyodhaniwa kuwa na utajiri.
|
||
|
|
||
|
# Ninyi wenyewe
|
||
|
|
||
|
Neno "wenyewe" inatumika hapa kwa kuongeza msisitizo.
|
||
|
|
||
|
# nimefanya kazi kwa mikono yangu mwenyewe kutimiza mahitaji yangu.
|
||
|
|
||
|
Neno "mikono" hapa inawakilisha roho yote ya Paulo. 'Mimi nilifanya kazi kwa mikono yangu mwenyewe ya kupata fedha na kulipa kwa ajili ya gharama zangu."
|
||
|
|
||
|
# Kufanya kazi kuwasaidia wanyonge
|
||
|
|
||
|
"Fanyeni kazi ilikupata fedha kusaidia watu ambao hawawezi kuzipata kwaajili yao wenyewe"
|
||
|
|
||
|
# maneno ya Bwana Yesu,
|
||
|
|
||
|
Hapa "maneno" yanafafanua juu ya Yesu alivyosema.
|
||
|
|
||
|
# Ni heri kutoa kuliko kupokea
|
||
|
|
||
|
Mtu hupokea neema ya Mungu na uzoefu wa furaha yake zaidi anapotoa
|
||
|
|