sw_tn/act/20/15.md

33 lines
848 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Taarifa ya jumla
Habari hii inaelezea Paulo, Mwandishi Luka na wale waliosafiri pamoja nao.
# upande wa pili wa kisiwa
"karibu na kisiwa" au " kuvuka kutoka kwenye kisiwa"
# Kisiwa cha Chiosi
Chiosi ni kisiwa katika pwani ya Uturuki kwa sasa katika bahari ya Aegean
# tulitia nanga kisiwani cha Samos
"Tuliwasili katika kisiwa cha Samos"
# kisiwa cha Samos
Samos ni kisiwa cha kusini ya Chios katika pwani ya bahari ya Aegean kwa sasa ni Uturuki.
# mji wa mileto
Mileto ulikuwa ni mji wa bandari magharibi mwa Asia Ndogo karibu ni kwenye chanzo cha mto Meander.
# Paulo alikuwa ameamua kusafiri kupitia Efeso
Paulo alisafiri majini kusini zamani mji wa bandari wa Efeso, kusini zaidi ili kufika nchi kavu huko Mileto.
# ili kwamba asitumie muda wowote
Hii inamaanisha "muda" kama vile ulikuwa bidhaa ambao mtu angeweza kuutumia.