# Taarifa ya jumla Habari hii inaelezea Paulo, Mwandishi Luka na wale waliosafiri pamoja nao. # upande wa pili wa kisiwa "karibu na kisiwa" au " kuvuka kutoka kwenye kisiwa" # Kisiwa cha Chiosi Chiosi ni kisiwa katika pwani ya Uturuki kwa sasa katika bahari ya Aegean # tulitia nanga kisiwani cha Samos "Tuliwasili katika kisiwa cha Samos" # kisiwa cha Samos Samos ni kisiwa cha kusini ya Chios katika pwani ya bahari ya Aegean kwa sasa ni Uturuki. # mji wa mileto Mileto ulikuwa ni mji wa bandari magharibi mwa Asia Ndogo karibu ni kwenye chanzo cha mto Meander. # Paulo alikuwa ameamua kusafiri kupitia Efeso Paulo alisafiri majini kusini zamani mji wa bandari wa Efeso, kusini zaidi ili kufika nchi kavu huko Mileto. # ili kwamba asitumie muda wowote Hii inamaanisha "muda" kama vile ulikuwa bidhaa ambao mtu angeweza kuutumia.