sw_tn/act/19/33.md

17 lines
351 B
Markdown
Raw Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Alexazanda
Hili ni jina la mtu mwanamme
# akawapungia mkono ili kuelezea
kutigisha mkono akitoa ishara kwa watazamaji ili wanyamaze na aweze kutoa maelezo.
# kufanya maelezo
Alitaka kutoa hotuba, lakini sio wazi nini alichokuwa anakwenda kusema.
# bila ya sauti
Kupaza sauti ya watu wote kwa wakati mmoja ilionekana kama sauti moja ikinena.